Shirika lisilo la Kiserikali Standing Order Voice limetoa Elimu ya kujikinga na saratani ya ngozi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Ualbino) katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma
Elimu hiyo iliyotolewa katika Kituo cha Afya Madaba imeambatana na kupimwa afya zao na kupewa matibabu na Madaktari wa shirika hilo ambao wamewaasa watu wenye Ualbino kuvaa nguo zinazoficha mwili, kuvaakofia zenye uwigo mpana pamoja na kupaka mafuta wakati wa asubuhi na mchana.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.