WAKAZI wa Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wakiendelea na shughuli za uvuvi katika ziwa hilo.Sekta ya uvuvi ni moja ya shughuli inayowaingizia fedha nyingi wananchi mwambao mwa ziwa Nyasa,kutokana na ziwa hilo kuwa na aina mbalimbali za samaki adimi duniani.kufunguka kwa barabara ya lami toka Songea hadi Mbambabay na kuanzishwa kwa usafiri wa meli tatu ndani ya ziwa Nyasa kutachochea shughuli za kiuchumi katika wilaya ya Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.