MILANGO ya utalii katika Mkoa wa Ruvuma imefunguka baada ya serikali kuboresha miundombinu ya usafrishaji kwa njia ya barabara ya lami hadi makao makuu ya Wilaya ya Nyasa mjini Mbambabay hali pia serikali imenunua meli tatu kwa ajili ya ziwa Nyasa mbili za mizigo na moja ya abiria ambazo tayari zimeanza safari.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.