• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

ZAO la korosho ni msingi wa uchumi katika Mkoa wa Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: October 4th, 2020

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema zao la korosho ni msingi wa uchumi katika Mkoa wa Ruvuma.

Mndeme ametoa kauli hiyo wakati  anafungua mkutano wa wadau wa korosho wa Mkoa wa Ruvuma uliofanyika mjini Tunduru ambapo mnada wa kwanza wa korosho umetangazwa kufanyika Oktoba 22 mwaka huu.

Mndeme amesema Mkutano huo wa wadau wa Korosho kwa Mkoa wa Ruvuma unalengo la kujadili na kutoa mapendekezo mbalimbali kutokana  na changamoto zinazolikabili zao la Korosho  na Sekta ya Korosho kwa ujumla.

“Wilaya zinazolima Korosho kwa uchache waongeze hamasa ya uzalishaji ili nao waweze kulingana na Wilaya zinazolima korosho kwa wingi pamoja na uanzishaji wa  mapya utawezesha kuchangia lengo la Serikali ya Tanzania uzalishaji wa Korosho ghafi toka wastani wa tani 300,000 hadi tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025” alisema Mndeme.

Mndeme ametoa wito kwa bodi ya Korosho Tanzania kuendelea kuhamasisha maendeleo ya zao la korosho hapa nchini kupitia bajeti ya Serikali kuwa na mashamba mapya ya uzalishaji na yale ya asili yanayozingatia kilimo bora cha zao hilo na kinacholeta tija.

Ametoa rai kwa wadau wa korosho kuongeza uzalishaji na kupanua wigo wa soko kwa ubanguaji wa Korosho ili kuongeza thamani ya zao hilo ambapo amesema hivi  sasa korosho zinazobanguliwa katika Mkoa wa Ruvuma ni asilimia ishirini ya zinazovunwa nchini.

Ameagiza kuweka mikakati itakayoweza kuboresha zao hilo ikiwemo kuhakikisha upatikanaji wa mitaji kwa wabanguaji wadogo,wakati na wakubwa pamoja na kupanua wigo wa soko la korosho.

“Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli  ina mpango wa kuona wakulima wanapata bei nzuri ya mazao yao kulingana na bei ya soko,ina nia ya dhati kuhakikisha kiasi kikubwa cha korosho inayozalishwa hapa nchini  inabanguliwa na viwanda vya ndani”,alisema Mndeme.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka ofisi ya Habari ya Mkoa wa Ruvuma

Oktoba 3,2020

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.