SERIKALI imeanzisha zao la michikichi katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kwa kuleta miche ya kisasa ya zao hilo kutoka mkoani Kigoma ambayo inaanza kuzaa kati ya miaka miwili hadi mitatu na inaendelea kuzaaa mfululizo katika kipindi cha miaka 30 hivyo kuleta tija kwa wakulima na serikali kupunguza changamoto ya upatikanaji wa mafuta ya kula ambapo serikali imekuwa inaagiza mafuta ya kula kutoka nje ya nchi.TAZAMA HABARI ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=4yBJvXPCDjQ&t=8s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.