Kushoto ni Naibu Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Mary prisca Mahundi akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Songea katika ziara ya kikazi ya siku moja wilayani Songea ambapo Mheshimiwa Naibu Waziri ametembelea na kukagua maeneo ya Maposeni na Mdunduwaro Jimbo la Peramiho ambapo serikali imetenga takribani shilingi milioni 600 kujenga minara miwili ya mawasiliano itakayounganishwa na mkongo wa Taifa ili kupanua usikivu na kuboresha mawasiliano
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akimtambulisha Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Jumanne Mwankhoo kwa Naibu Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia na habari Mhandisi Maryprisca Mahundi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.