VITA ya corona nchini Tanzania na Dunia kwa ujumla inaendelea ili kuhakikisha kuwa chanjo na tiba ya corona inapatikana na Dunia iweze kurejea katika hali yake ya kawaida.Nchi ya Marekani ni miongoni mwa nchi ambazo zimepata maafa makubwa kutokana na corona.Teresa Nyirenda ni Mtanzania ambaye anaishi nchini Marekani,kupitia makala haya anatoa elimu ambayo nchini Marekani wamekuwa wanaitoa kwa kuelimisha wananchi dalili kuu zinazoongoza iwapo umepata maambukizi ya corona.BOFYA HAPA http://www.ruvuma.go.tz/announcement/dalili-kuu-za-corona
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.