pichani ni Baadhi ya Wafanyakazi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambao yamejitokeza katika zoezi la upimaji wa magonjwa yasiyoambukiza.
magonjwa hayo ni pamoja na shinikizo la juu la damu(BP), kisukari, upimaji uzito na urefu.
Zoezi hilo limeratibiwa na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr. Louis Chomboko na kutekelezwa na watumishi wa Afya kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea
Zoezi linafanyika kwa siku mbili Machi 25 na 26 wiki hii linahusisha upimaji wa hiari kwa Watumishi wote
Vipimo vitakavyohusika ni pamoja na Sukari, Shinikizo la Damu, Urefu, Uzito, HIV pamoja na ushauri wa kitaalam
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.