• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAKAZI zaidi ya milioni moja Ruvuma wanapata maji safi na salama

Imewekwa kuanzia tarehe: January 11th, 2021

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema wakazi 1,149,867 katika Mkoa wa Ruvuma wanapata maji safi na salama hadi kufikia Oktoba 2020.Akitoa taarifa ya maendeleo ya Mkoa wa Ruvuma kwa Waziri Mlkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi mkoani humu,Mndeme amesema idadi hiyo ya watu ni sawa na asilimia 63.9 ambapo idadi ya watu wanaopata maji vijijini ni sawa na asilimia 61.6 wakati wakazi wa mijini ni asilimia 66.4.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa  amesema uboreshaji wa huduma za maji mijini na vijini hadi kufikia Oktoba mwaka jana Mkoa ulitekeleza miradi 29 ya ukarabati na upanuzi  iliyogharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.168 kupitia program ya lipa kwa matokeo(PBR) ambapo jumla ya miradi  19 imekamilika na miradi kumi inaendelea kutekelezwa.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma miradi 33 ya programu ya lipa kwa matokeo ipo kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma

Januari 11,2021


Matangazo

  • TANGAZO la vigezo vya kupata leseni ya biashara July 31, 2021
  • TANGAZO la fursa za uwekezaji mkoani Ruvuma May 31, 2021
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 May 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • JAFO atoa maagizo mazito kwa wakuu wa mikoa na wakurugenzi nchini

    January 22, 2021
  • JIWE la Pomonda ziwa Nyasa lina vivutio vya kila aina

    January 21, 2021
  • KISIWA maarufu cha Lundo kinachofaa kuwekeza katika sekta ya Utalii

    January 20, 2021
  • MTO Ruvuma ulivyoubeba Mkoa wa Ruvuma

    January 20, 2021
  • Tazama zote

Video

HAYA ndiyo maajabu ya mto Ruvuma
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.