Benki ya NMB, ikiongozwa na Meneja wa NMB Kanda ya Kusini, Bi. Olipa Hebel, wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ofisini kwake mjini Songea, lengo likiwa ni kumpongeza kwa kumaliza Mwaka wa Fedha wa 2024/2025, sambamba na kumtakia heri katika Mwaka Mpya wa Fedha wa 2025/2026, huku wakisisitiza dhamira yao ya kuendelea kushirikiana na Serikali ya Mkoa wa Ruvuma katika nyanja mbalimbali za maendeleo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.