• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SEKTA ya Elimu

6.4 ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

Sekta ya Elimu Mkoani inafanya kazi kwa ushirikiano na Halmashauri, Idara ya uthibiti ubora wa elimu, Idara ya Tume ya utumishi wa walimu (TSC), Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, vyuo vya Ualimu na Mamlaka ya vyuo vya ufundi (Veta), Chuo kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na maktaba ya Mkoa. Jedwali lifuatalo linaainisha mchanganuo wa Taasisi za elimu zilizopo Mkoa wa Ruvuma.

Jedwali Na.51: Idadi ya taasisi za elimu katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma hadi kufikia Novemba, 2022

Halmashauri

Elimu ya Awali

Elimu ya Msingi

Elimu ya Sekondari

Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi

VETA

Vyuo vya Ualimu

Vyuo vya Elimu ya Juu

*S
*B
S
B
S
B
S
B
S
B
S
B
S
B
Madaba

28

1

28

1

10

4

0
0
0
0
0
0
0
0
Mbinga dc

164

3

164

3

31

16

1
0
0
0
0
0
0
0
Mbinga TC

72

9

72

9

15

5

0
0
0
0
0
1
0
0
Namtumbo

108

5

108

5

26

8

1
3
1
0
0
0
0
0
Nyasa

111

0

111

0

16

1

0
0
1
0
0
0
0
0
Songea DC

78

3

78

3

17

5

2
1
0
0
0
0
0
0
Songea MC

82

14

82

14

25

18

0
0
1
0
1
0
1
1
Tunduru

151

1

151

1

24

2

1
0
0
1
0
0
0
0
Jumla

794

36

794

36

164

59

5
4
3
1
1
2
1
1
Jumla Kuu
830
830

223

9

4

3

2

Chanzo: Taarifa za Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma Novemba,2022

*S – Serikali     *B – Binafsi

6.4.1 Elimu ya Awali na Msingi

Elimu ya Awali ni hatua muhimu ya Maandalizi katika mzunguko wa elimu. Serikali ya Tanzania imeirasmisha na kujumuisha elimu hii kwenye mfumo rasmi wa elimu na kuagiza kila shule ya msingi iwe na darasa la elimu ya awali litakaloandikisha watoto wenye umri wa miaka 5-6. Elimu ya Awali inachukua miaka miwili bila ya mitihani ya kuwapandisha watoto. Kwa mujibu wa Sera ya Elimu na Mafunzo (ETP) ya mwaka 1995, Elimu ya Awali inakusudiwa kuhimiza maendeleo ya jumla ya haiba ya mwanafunzi, sifa za kimwili, kiakili na kimaadili na uwezo.

Mkoa wa Ruvuma una jumla ya shule za msingi 828, kati ya hizo za Serikali ni 793 na zisizo za Serikali ni 35. Mkoa umeanza zoezi la uandikishaji wa wanafunzi wa awali kwa mwaka wa masomo utakaoanza mwezi januari 2023 kama inavyoonesha hapa chini: -

Jedwali Na. 52: Idadi ya maoteo na uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la awali wa mwaka 2023 hadi Novemba,2022

HALMASHAURI
 MAOTEO 
WALIOANDIKISHWA (WASIO WA MAHITAJI MAALUM)
WALIOANDIKISHWA (MAHITAJI MAALUM)
 JUMLA WALIOANDIKISHWA 
ASILIMIA YA UANDIKISHAJI
 WAV 
 WAS 
 JUMLA 
WAV
WAS
JUMLA
WAV
WAS
JUMLA
WAV
WAS
JUMLA
WAV
WAS
JUMLA
MADABA

645

1293

596

579

1175

9

6

15

605

585

1190

1775

91

92

91.6

MBINGA DC

3386

3195

6581

1114

1125

2239

0

0

0

1114

1125

2239

33

35

34

MBINGA TC

2255

2314

4569

1376

1297

2673

27

31

58

1403

1328

2731

46

57

60

NAMTUMBO

3875

3762

7632

3022

3097

6119

13

19

32

3035

3116

6151

78

    83

81

NYASA

2798

2689

5487

1423

1400

2823

2

1

3

1425

1401

2826

51

52

52

SONGEA DC

2157

2162

4319

1422

1399

2821

4

6

10

1426

1405

2831

66

65

66

SONGEA MC

2994

3243

6237

1378

1590

2968

4

7

0

1382

1597

2979

46

49

48

TUNDURU

2972

3146

6094

1350

1433

2782

7

3

10

1357

1436

2792

46

46

46

JUMLA
       21,082 
   21,804 
   41,515 

11664

12516

22434

63

82

718

11727

12598

24324

     56 
    58 
      57 

Chanzo: Halmashauri za Wilaya, Mji na Manispaa Novemba, 2022

i) Idadi ya wanafunzi darasa la Awali-VII mwaka 2022

Mkoa wa Ruvuma hadi kufikiaNovemba, 2022 una idadi ya wanafunzi wa darasa la Awali hadi la VII 353,509 Kati yao wavulana 175,368 na wasichana178,141. 

 

ii) Walimu wa Shule za Msingi hadi Novemba, 2022

Hadi kufikia Novemba, 2022 mahitaji ya walimu wa shule za msingi ni 10,071, Waliopo   6,214 hivyo upungufu ni walimu 3,857. Mchanganuo wa idadi ya walimu imeoneshwa katika jedwali lifuatalo;

Jedwali Na. 53. Idadi ya walimu wa shule za msingi kwa kila Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma hadi kufikia Novemba,2022

WALIMU WA SHULE ZA MSINGI

Halmashauri

Mahitaji

Waliopo

Upungufu

Madaba DC

323

196

127

Mbinga DC

1898

991

907

Mbinga TC

1,026

626

400

Namtumbo DC

1342

929

413

Nyasa DC

1175

665

510

Songea DC

967

523

444

Songea MC

1275

1177

98

Tunduru

2065

1107

958

JUMLA 

10,071

6214

3857

iii) Hali ya ufaulu wa mtihani wa darasa la saba 2021

Mwaka 2021 wanafunzi wa darasa la saba wapatao 39,614 walisajiliwa kufanya mtihani wa darasa la saba.  Wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi walikuwa ni 39,604 sawa na asilimia 99.9. Wanafunzi waliofaulu mtihani walikuwa 28,356 sawa na asilimia 73.1 ambapo wanafunzi wote waliofaulu wamechaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari.

Jedwali Na. 54: Hali ufaulu wa mtihani wa darasa la saba mwaka 2021 na waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza Januari, 2022

NA

HALMASHAURI

WALIOFANYA MTIHANI

WALIOCHAGULIWA

% ASILIMIA

NAFASI ZA UFAULU KIHALMASHAURI



WAS

WAV

JML

WAS

WAV

JML


1

SONGEA(M)

3,058

2,818

5,876

2,770

2,402

5,172

88.019

1


2

MADABA

675

645

1,320

580

559

1,139

86.288

2


3

NYASA

2,245

2,284

4,529

1,768

1,662

3,430

75.734

3


4

NAMTUMBO

2,752

2,745

5,497

2,054

1,990

4,044

73.567

4


5

MBINGA(M)

1,809

1,608

3,417

1,365

996

2,361

69.096

5


6

TUNDURU

4,198

4,116

8,314

2,573

2,932

5,505

66.214

6


7

SONGEA(V)

1,743

1,721

3,464

1,128

1,053

2,181

62.962

7


8

MBINGA(V)

3,562

3,625

7,187

2,474

2,050

4,524

62.947

8


 

iv) Hali ya samani katika shule za Msingi

Hadi kufikia Novemba, 2022 Mkoa una mahitaji ya madawati 126,248 yaliyopo ni 102,430 na upungufu ni 23,818 Aidha, Mkoa kwa kushirikiana na Wilaya zake umeendelea na jitihada mbalimbali ili kuweza kuondoa upungufu uliopo.


Jedwali Na.55. Hali ya samani katika shule za msingi hadi kufikia Novemba ,2022

NA.

HALMASHAURI

MADAWATI

MAHIT.

YALIOPO

UPUNG.

ZIADA

1
Madaba

4153

4524

0

371
2
Mbinga DC

22231

17872

4359


3
Mbinga Mji

10777

8388

2389


4
Namtumbo

17115

13867

3248


5
Nyasa

15661

12325

3336


6
Songea DC

11613

10455

1158


7
Songea MC

18516

16771

1745


8
Tunduru

26182

18228

7954


 
JUMLA

   126,248 

 102,430 

 23,818


Chanzo: Sensa Elimu msingi Novemba,2022

 

v) Hali ya majengo katika shule za Msingi

Hadi kufikia Novemba, 2022 Mkoa una mahitaji ya vyumba vya madarasa 10,003; yaliyopo ni 6,294 na upungufu ni 3,709. Kwa upande wa matundu ya vyoo Mkoa ulikuwa na mahitaji 17,372 yaliyopo ni 9,977 na upungufu ni 7,395.

    Jedwali Na. 56: Hali ya majengo ya Shule za Msingi hadi kufikia Novemba ,2022

 

 
 

MADARASA

NYUMBA

MATUNDU YA VYOO

 
 
MAHITAJI
YALIYOPO
UPUNGUFU
MAHITAJI
YALIYOPO
UPUNGUFU
MAHITAJI
YALIYOPO
UPUNGUFU

1

MADABA

368

273

95

345

113

232

603

648

-45

2

MBINGA DC

1760

1145

615

1698

618

1080

2923

1712

1211

3

MBINGA TC

921

567

354

874

209

665

1555

892

663

4

NAMTUMBO

1411

875

536

1325

439

886

2696

1583

1113

5

NYASA

1224

788

436

1114

345

769

2125

1171

954

6

SONGEA DC

914

650

264

863

264

599

1552

1015

537

7

SONGEA MC

1453

962

491

1224

119

1105

2667

1436

1231

8

TUNDURU

1952

1034

918

1840

548

1292

3251

1520

1731

JUMLA KUU

10003

6294

3709

9283

2655

6628

17372

9977

7395

Chanzo: Sensa Elimumsingi Novemba,2022

 

6.4.2 Elimu ya Sekondari

Mkoa una jumla ya shule za sekondari 218 zikiwemo 160 za Serikali na 58 ni shule za binafsi.  Kati ya shule 160 za Serikali, shule tano (5) ni za bweni na shule 155 ni za kutwa.  Kati ya shule 218 zenye kidato cha tano na sita ni 35 (Serikali 23 na zisizo za Serikali 12).

Jedwali Na. 57: Idadi ya Shule za Sekondari

Halmashauri

Elimu ya Sekondari

Serikali
Binafsi
Madaba DC

8

3

Mbinga DC

31

16

Mbinga TC

15

5

Namtumbo DC

25

8

Nyasa DC

16

1

Songea dC

17

5

Songea MC

24

18

Tunduru DC

24

2

Jumla

160

58

Jumla kuu

218

Chanzo: Sensa Elimu msingi Novemba, 2022

 

 

Jedwali Na. 58: Idadi ya wanafunzi Kidato cha Kwanza hadi Sita Oktoba,2022


SN

Halmashauri

Wavulana

Wasichana

Jumla

1

Madaba

1747

2226

3973

2

MBINGA DC

6732

8024

  14756

3

Mbinga Tc

3614

4401

8015

4

Namtumbo

5412

5712

11124

5

Nyasa

4125

4706

8831

6

Songea Dc

3024

4316

7340

7

Songea Mc

9465

10589

20054

8

Tunduru

6793

5634

12427


Jumla 
      40,912
       45,608
      86,520 


Chanzo: Sensa Elimu msingi Novemba ,2022

 

i) Walimu wa Shule za Sekondari hadi Novemba ,2022

Hadi kufikia No vemba ,2022 mahitaji ya walimu wa shule za sekondari ni 4,041, Waliopo   3,523 hivyo upungufu ni walimu 518 Mchanganuo wa idadi ya walimu kwa masomo imeoneshwa katika majedwali yafuatayo:

Jedwali Na.59:1Idadi ya Walimu kufikia Novemba, 2022 Kwa masomo ya Sanaa na lugha

NA

1.Mahitaji ya walimu wa masomo ya sanaa na Lugha
Halmashauri

Mahitaji

Waliopo

Upungufu

1

Madaba DC

118

132

-14

2

Mbinga DC

426

149

277

3

Mbinga TC

218

245

-27

4

Namtumbo DC

290

296

-6

5

Nyasa DC

250

174

76

6

Songea MC

585

772

-187

7

Songea DC

254

219

35

8

Tunduru DC

332

310

22

 
JUMLA 

2473

2297

176

 

 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • JARIDA la RS RUVUMA toleo maalum la Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Ruvuma

    May 18, 2025
  • MAKABIDHIANO mwenge wa Uhuru kati ya Mkoa wa Ruvuma na Mtwara.Ruvuma yaandika historia

    May 17, 2025
  • MWENGE wa Uhuru waridhia miradi yote Tunduru

    May 16, 2025
  • MWENGE wa Uhuru waangaza Namtumbo

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.