Kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi
Hatua za Kufuata:
1.Hakikisha umesajiliwa kwenye mfumo
Unaweza kusalijiwa kupitia afisa TEHAMA wa Halmashauri/Mkoa uliyopo
2.Huisha akaunti yako ya Mfumo
Tumia akaunti yako ya barua pepe za serikali Ili kusajiliwa na uweze kuhuisha akauti yako mara baada ya hatua ya kwanza kukamilika
3.Ingia na chagua kiungo cha kibali cha Kusafiria
Upande wa kushoto mwa mfumo kuna machaguo,chagua kiungo cha kibali cha kusafiria kisha chagua Omba kibali.
4.Jaza Fomu kwa kufuata hatua namba 1 mpaka namba 5 .
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu ,bonyeza wasilisha kukamilisha maombi ya kibali
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.