Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip)
Mtumishi wa umma anaweza Kupata Hati ya Mshahara kwa kujisajili kwenye mfumo wa Watumishi Portal. Kwenye mfumo huu wa watumishi utamuwezesha kupata taarifa zake za kiutumishi.
Mambo ya kuzingatia:
Ili kujisajili Bofya hapa.Kujisajili kwenye mfumo
Pia unaweza kupata hati yako ya mshahara kwa kutumia mfumo mpya wa "Government Salary Slip Portal" ambapo utajisajili kwenye mfumo.
Kwenye Mfumo huu vitu vya kuzingatia ni pamoja na :
Ili kujisajili Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Manage/EmployeeRegistration
au kuingia kwa waliojisajili kwenye Government Salary Slip Portal Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=%2F
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.