Imewekwa kuanzia tarehe: January 1st, 2022
HALMASHAURI ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imetoa mkopo wa shilingi milioni 37 ikiwa ni fedha taslimu na vifaa kwa wajasiriamali wadogo ambao ni vijana,wanawake na wenye ulemavu
...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 1st, 2022
SERIKALI imetoa jumla ya shilingi milioni 250 kwa kituo cha Afya Liparamba Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kwa ajili ya ujenzi wa wodi mbili ambazo ni wodi ya upasuaji na wodi ya ma...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 28th, 2021
Serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 1.76 kwa shule 30 za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kujenga madarasa mapya 88 ambayo yamekamilika na yanatarajia kuanza kuchuk...