Imewekwa kuanzia tarehe: April 7th, 2024
Hiki ni kisiwa cha Mbambabay chenye ukubwa wa hekta 27 kilichopo ziwa Nyasa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma,kisiwa hiki kimebarikiwa kuwa na utajiri mkubwa wa samaki wa mapambo ambapo katika ziwa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 7th, 2024
Chanzo cha Mto Ruvuma kimeanzia milima ya Matogoro iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Songea,Mto huo umepita katika wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma na kuendelea hadi mkoani Mtwara ambao unamwaga ma...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 6th, 2024
Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida pichani wa kwanza kushoto amefanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed wa pili kutoka kushoto.
...