Imewekwa kuanzia tarehe: February 15th, 2023
MASHUJA 66 walivyongwa na wajerumani mwaka 1906 na kuzikwa katika kaburi moja ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji yaliyopo Mahenge mjini Songea.Jemedari wa kabila la wangoni Nduna Songea Mbano al...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 15th, 2023
pichani kushoto ni Rais Mstaafu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete alipotembelea Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea,kulia kwake ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 14th, 2023
KUELEKEA KUMBUKIZI YA MASHUJAA WA VITA YA MAJIMAJI TAREHE 27/2/2023
Mashujaa wa vita ya Majimaji wapatao 67 wakiwa ndani ya magereza la miti mjini Songea muda mfupi labla ya kunyongwa na wajerumani...