Imewekwa kuanzia tarehe: April 3rd, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme anasema hadi sasa mapambano dhidi ya virusi vya corona mkoani Ruvuma yanaendelea vizuri ambapo hadi sasa Mkoa upo salama .Alikuwa anazungumza na Kamati za ma...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 3rd, 2020
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Jairy Nkhanga ametoa tahadhari ya unywaji wa pombe ya kienyeji kwa kupokezana chombo kimoja unavyoweza kuchangia maambukizi ya virusi vya Corona
TAZAMA habari...