Imewekwa kuanzia tarehe: October 25th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewatakia Mtihani mwema Wanafunzi wa Darasa la nne katika mitihani yao Taifa ya kujipima Darasa la nne ambayo wameanza leo Oktoba 25, 2023 na kumaliza Oktob...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 24th, 2023
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kuwa Kituo cha Afya Kindimbachini kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma kitapokea vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi Milioni 710 ndan...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 24th, 2023
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya...