Imewekwa kuanzia tarehe: March 22nd, 2023
BAADHI ya wakazi wa kata ya Mbinga Mhalule wilaya ya Songea mkoani Ruvuma,wameupongeza wakala wa Barabara za vijijini na mijini (TARURA),kwa kutekeleza vizuri ujenzi wa mradi wa barabara ya Matomondo-...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 22nd, 2023
MKOA wa Ruvuma una Jumla ya kilometa 4,130.63 za mtandao wa Barabara zinazosimamiwa na TARURA ambazo hupitika kwa mwaka mzima.
Kwa Mujibu wa Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijin...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 22nd, 2023
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma ,limekabidhi jumla ya lita 630 ya mafuta ya Dizel kwa uongozi wa kampuni ya China Railway Group inayojenga mradi wa barabara ya lami ya Amanimakolo -Ruanda yenye urefu wa...