Imewekwa kuanzia tarehe: February 28th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ametunukiwa nishani nne na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 28th, 2025
Wanavikundi vya wajasiriamali na wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kupata mkopo wa asilimia kumi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wamepatiwa mafunzo ya mwisho kabla ya kupokea...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 28th, 2025
Wananchi, viongozi wa serikali, wanafunzi, na wakazi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wameungana kuadhimisha kumbukizi ya Vita ya Majimaji kupitia mdahalo maalum ulioandaliwa na Mkoa wa Ruvuma.
...