Imewekwa kuanzia tarehe: February 9th, 2024
Mkoa wa Ruvuma unatarajia kutoa chanjo ya surua-Rubela kwa watoto zaidi ya 200,000 wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miezi 59.
Kampeni ya kitaifa ya chanjo ya surua-Rubella inatarajia kufanyika...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 9th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Mheshimiwa Aziza Mangosongo amekabidhi gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) katika kituo cha afya Kindimbachini.
Mangosongo pia amekabidhi madawati 179 &...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 8th, 2024
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara kuzungumzia kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maend...