Imewekwa kuanzia tarehe: January 26th, 2024
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mk...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 26th, 2024
Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa akikagua daraja la Ruhuhu linalounganisha wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na wilaya ya Ludewa mkoani Njombe.
Daraja hilo ambal...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 26th, 2024
SERIKALI imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 96 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Lituhi kuelekea Bandari ya Ndumbi yenye urefu wa kilometa 50 kwa kiwango cha lami.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Uj...