Septemba 2 mwaka huu yamefanyika makabidhiano maalum ya Mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gagutiuti kwenda kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma BrigedJenerali Wilbert Ibuge.Makabidhiano hayo yamefanyika katika kijiji cha Sauti moja wilayani Tunduru mpakani mwa Mkoa wa Ruvuma na Mtwara.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=V2Hh_SY0bxc&t=17s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.