Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed mwenye suti akipata maelezo ya utengenezaji wa bustani rahisi ya nyumbani kutoka kwa Afisa wa Magereza wa Kitai wilayani Mbinga ambaye alikuwepo kwenye maonesho ya mabanda ya Nanenane ngazi ya Mkoa wa Ruvuma ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya Amanimakoro wilayani Mbinga
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.