• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

HABARI hii ni upotoshaji ipuuzeni

Imewekwa kuanzia tarehe: February 2nd, 2025

Mkuu Wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi  za kujenga miundombinu ya elimu ikiwemo shule,madarasa na ununuzi wa samani mbalimbali ambapo ametoa rai kwa wananchi kuwapuuza watu wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kutoa taarifa ambazo sio sahihi 

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, amepongeza juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutoa fedha za ujenzi wa miundombinu ya shule za msingi na sekondari, hatua ambayo inatengeneza mazingira bora zaidi ya kujifunza kwa wanafunzi katika mkoa huo.

Katika uongozi wa serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Ruvuma unajivunia ongezeko la idadi ya shule, miundombinu bora, na mikakati ya kisasa ya maendeleo ya elimu.

Ongezeko la Shule na Miundombinu ya Elimu

Mkoa wa Ruvuma umeshuhudia ongezeko la shule za msingi kutoka 841 zilizokuwepo mwaka 2023 hadi  shule 860 mwaka 2024, ikiwa ni sawa na asilimia 1.8.

Hii ni ishara ya maendeleo ya sekta ya elimu, ambapo shule za sekondari pia zimeongezeka  kutoka shule 233 mwaka 2023 hadi  kufikia shule 247 mwaka 2024.

Juhudi za Uboreshaji wa Miundombinu

Mkoa wa Ruvuma, kwa kushirikiana na wilaya zake, umeendelea na juhudi mbalimbali za kuhakikisha kwamba upungufu huu wa miundombinu unadhibitiwa.

Katika shule za sekondari  mkoani Ruvuma, mahitaji ya vyumba vya madarasa yamepungua, huku Mkoa ukiwa na vyumba vya madarasa 2,341, ikiwa hakuna upungufu katika  eneo la shule za sekondari.

Hata hivyo  jitihada kubwa zinaendelea kufanywa na serikali  kuhakikisha  nyumba za walimu,matundu ya vyoo,vyumba vya maabara na mabweni yanaendelea kujengwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi

Vyuo vya Elimu ya Juu na Ufundi

Mkoa wa Ruvuma umeonesha mafanikio pia katika sekta ya elimu ya juu na ufundi ambapo Mkoa una vyuo vya Maendeleo ya Wananchi tisa, vyuo vya ufundi stadi (VETA) vitano, vyuo vya ualimu vitatu, na Chuo Kikuu kimoja.

Serikali pia inatekeleza ujenzi wa chuo cha ufundi kwa watu wenye ulemavu unaendelea katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea, jambo linaloonesha ufanisi wa serikali katika kuhakikisha elimu inapatikana kwa watu wote, bila kujali changamoto zinazowakumba.

Ujenzi wa shule mpya, vyuo, na miundombinu mingine ya elimu ni ishara ya maendeleo endelevu na juhudi kubwa  zinazofanywa na serikali ya Awamu ya Sita ya kuboresha miundombinu ya elimu katika Mkoa  wa Ruvuma.




Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.