PICHANI ni baadhi ya wakulima wa ufuta katika kijiji cha Limamu Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wakimshukuru Mkuu wa Wilaya hiyo Pichani kulia Mheshimiwa Ngollo Malenya na Mrajis Msaidizi wa Ushirika Mkoa wa Ruvuma Peja Mhoja kwa kusimamia vema Mfumo wa stakabadhi ghalani ambapo kwa mwaka huu kwenye ufunguzi wa mnada wa kwanza katika zao la ufuta katika kijiji cha Limamu kilo moja imeuzwa shilingi 3701 huku katika soko holela kilo moja ikiuzwa shilingi 1000.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.