Kamati ya fedha na Uongozi ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ikiongozwa na Naibu Meya Manispaa ya Songea Mheshimiwa Jeremiah Mlembe, imefanya ziara ya kutembelea na kukagua vyanzo mbalimbali vya mapato vya Halmashauri hiyo.
Miongoni mwa vyanzo vya mapato vilivyotembelewa ni pamoja na Vibanda na vyoo vya Stendi kuu ya mabasi Songea, Soko la mazao Msamala, vibanda na Vyoo vya Mfaranyaki na Majengo, Machimbo ya Madini ya ujenzi Lilambo na Standi ya mabasi za Seedfarm, na Ruhuwiko.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.