Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Andreharn Nziku akimkabidhi funguo za magari manne na pikipiki 15 MKuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas vifaa vitakavyotumika katika Wilaya za Namtumbo na Tunduru kwa ajili ya kukuza sekta ya utalii na kuboresha ulinzi wa Maliasili kwenye mfumo wa ikolojia wa Selous,
Hafla ya Makabidhiano ya vifaa hivyo vipya vya usafiri imehudhuriwa na wadau mbalimbali wa utalii wakiwemo WWF. na imefanyika katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.