Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Mhe. Mary Makondo (wa katikati ) akiwa katika picha ya pamoja na Askari wa Kikosi cha Kutukiza Ghasia FFU.
Makondo amempongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP) Marco Chilya kwa ushirikiano baina ya vyombo vya usalama Wilaya na Mkoa pamoja na kazi nzuri inayofanywa na Jeshi la Polisi kuufanya Mkoa wa Ruvuma kuwa na amani na utulivu pasipo vikwazo vya aina yoyote.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.