Lundo: Kisiwa Kidogo Chenye Hadithi Kubwa ya Maumivu, Uzuri na Historia ya Kipekee
Katika kina cha Ziwa Nyasa, ndani ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, kuna kisiwa kidogo chenye ukubwa wa hekta 20 tu, lakini uzito wa simulizi zake unaweza kuliacha taifa zima likitafakari.
Karibu kwenye Kisiwa cha Lundo – almasi ya kihistoria na kiutalii iliyojaa uzuri wa asili, maisha ya porini na kumbukumbu ya machungu ya enzi za ukoloni.
Kisiwa hiki kina maajabu lukuki:
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.