Muonekano wa sekondari mpya Kata ya Tinginya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambayo imejengwa umbali wa zaidi ya kilometa 100 kutoka Tunduru mjini.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa fedha za kutekeleza mradi huo kupitia programu ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP),shule hiyo imeanza kutoa huduma kwa wanafunzi ambao awali walikuwa wanasafiri umbali mrefu kufuata elimu ya sekondari .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.