Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amefungua minada ya mazao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani katika msimu wa mwaka 2019/2020.Minada hiyo itakuwa inafanyika katika wilaya za Songea, siku ya Jumatatu,Namtumbo siku ya Jumatano na Tunduru siku ya Alhamis .TAZAMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=XGqE6EaRmiQ
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.