Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Ruvuma Mariam Juma akisoma taarifa ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr. Louis Chomboko kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kuhusu ugonjwa wa UKIMWI katika kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambaye kimkoa yamefanyika kijiji cha Nangunguru kata ya Nandembo Wilaya ya Tunduru
Pamoja ya mambo mengine taarifa hiyo imebainisha kuwa UKIMWI bado tishio mkoani Ruvuma ambapo idadi ya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI mkoani Ruvuma ni zaidi ya 60,000.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.