Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Ganguti amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge Mwenge wa uhuru ambao umeanza mbio maalum Septemba 2 mwaka huu wilaya Tunduru.Unatarajia kukamilisha mbio zake Septemba sita ambapo Septemba saba utakabidhiwa mkoani Njombe.
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=YD0Ds3_Thoc
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.