Mabwawa ya Luhira Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma yamekuwa kivutio adimu cha utalii wa kupiga picha ambapo wageni wengi wakiwemo watu waliofunga ndoa katika makanisa mbalimbali mjini Songea imekuwa ni kawaida kusaifiri hadi kwenye mabwawa haya ambayo yapo kilometa saba toka mjini Songea na kufika kufanya utalii wa kupiga picha kwenye mabwawa haya yenye vivuti vingi wakiwemo samaki na ndege mbalimbali wakiwemo aina ya bata wanaosafiri umbali mrefu ambao hupumzika kwenye mabwawa haya.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=54ns8S9HxTE
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.