Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 560 kujenga sekonndari mpya ya Dkt.Lawrence Gama iliyojengwa katika Kata ya Msamala Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Sekondari hiyo imekamilika na kuanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.