MRATIBU wa Mafunzo Elekezi ya Timu za utekelezaji wa mradi wa BOOST kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Yusuph Singo akifungua mafunzo ya mradi wa kuimarisha Ujifunzaji katika Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) kwa wataalam zaidi ya 280 kutoka mikoa ya Ruvuma,Njombe na Iringa katika shule ya sekondari Lugalo mjini Iringa. Katika mradi huo unaotekelezwa kwa miaka mitano kwa lengo la kuboresha elimu ya msingi na awali ambapo yanatarajiwa kujengwa madarasa 12,000 na kujenga shule salama 6,000.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.