MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia CCM MHE.Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya kampeni katika Mkoa wa Ruvuma ambapo akiwa wilayani Songea kwenye majimbo ya Madaba na Songea mjini amesema serijkkali ya CCM katika kutekeleza Ilani yake ya mwaka 2020 hadi 2025 inatarajia kujenga mtandao mpya wa barabara za lami katika Mkoa wa Ruvuma zenye urefu wa zaidi ya kilometa 900 .
Tazama video hapa http://www.ruvuma.go.tz/videos
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.