Mkuu wa Mkoa wa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametembelea sekondari maarufu ya Kigonsera katika Halmashauri ya Mbinga ambapo ameeweza kuzungumza na wanafunzi wa sekondari hiyo ambayo ni miongoni mwa shule zinazofaulisha vizuri mkoani Ruvuma.
Sekondari ya Kigonsera imepata umaarufu mkubwa hapa nchini kutokana na viongozi wawili wa ngazi ya juu nchini kusoma katika shule hiyo.Viongozi hao ni Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamini Mkapa na Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.