Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas (kushoto) akimkabidhi mti aina ya mparachichi Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile, kwa lengo la kuendelea kuwahamasisha Wazazi na Walezi wa Halmashauri ya Madaba wapande miti ya matunda ili kuongeza ulaji matunda katika familia kwani itasaidia kupunguza changamoto ya udumavu
Huu ni mwendelezo wa kampeni maalumu ya utandaji wa miti ya matunda ambayo ilizunduliwa mwaka huu 2024 na Mkuu wa Mkoa, kuwa kila ifikapo tarehe 19 ya mwezi ni siku ya upandaji miti ya matunda ambapo inalenga kupunguza tatizo la udumavu na kuwahamasisha wananchi kugeukia kilimo cha miti ya matunda kwani kina tija
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.