JENGO la Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma lililojengwa eneo la Lundusi mji mdogo wa Peramiho ni moja ya majengo ambayo yamegharimu mabilioni ya fedha yaliyojengwa na serikali kwa lengo la kuboresha mazingira ya kufanyia kazi watumishi na wananchi.Jengo jingine katika wilaya ya Songea ambalo nimekamilika na linahudumia watumishi na wananchi ni Jengo la Halmashauri ya Madaba.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.