Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangosongo katika eneo la Kitai Wilayani Mbinga.
Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 ukiwa Wilayani Mbinga utatembelea miradi mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.8
Mwenge wa Uhuru umeingia mkoani Ruvuma Aprili 17,2023 na unatarajiwa kuwa mkoani Ruvuma hadi Aprili 25,2023 utakapokabidhiwa mkoani Njombe.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.