Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma kwa kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Myangayanga ambapo serikali imetoa shilingi milioni 250 kutekeleza mradi huo katika awamu ya kwanza ambapo hadi sasa zimetumika shilingi milioni 218 kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.