KIONGOZI wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim amefungua mradi wa ujenzi wa maabara ya kisasa katika hospitali ya Rufaa ya Misheni ya Peramiho Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ikiyogharimu zaidi ya shilingi 381 hadi kukamilika.
Mradi wa maabara hiyo una vyumba 16 vya kutolea huduma zikiwemo huduma za upimaji magonjwa ya Mfumo wa damu,magonjwa ya figo,Kisukari,homoni,upimaji magonjwa ya kuambukiza kama Uni,UKIMWI na kaswende.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.