Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 umeridhia miradi yote tisa iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma yenye jumla ya shilingi milioni 861.
Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameupongeza uongozi wa Halmashauri hiyo kwa kufanya kazi kwa ushirikiano hivyo kutekeleza miradi ya maendeleo kwa ubora unaolingana na thamani ya fedha
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.