Mwenge wa Uhuru 2023 umeridhishwa na mradi wa ujenzi wa jengo la kliniki ya afya ya kinywa na meno unaotekelezwa katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 320 kutekeleza mradi huo.
Hata hivyo Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalah Shaib Kaim ameuagiza uongozi wa Wilaya ya Namtumbo kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa asilimia 100 kwa kuwa upo nyuma ya mkataba na kwamba wananchi wanahitaji huduma ya matibabu kuanza kutolewa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.