Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Mei 03, 2025 amemtembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Kanali Ahmed Abbas Ahmed.
Jaji Mwambege yupo mkoani Ruvuma kwa shughuli za kikazi za kukagua mwenendo wa awamu ya pili ya uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura ulioanza Mei 01 hadi Mei 07, 2025 kwa mikoa 15 ya Tanzania Bara.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.