Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme amewaagiza viongozi wa TAMA AMCOS kurudisha fedha zaidi ya milioni 21 walizowaibia wanachama wa kikundi hicho pamoja na kuliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa kuwachukulia hatua wafanyakazi wa Bank ya CRDB kufanya upotevu wa pesa katika akaunti ya Tama Amcos.
Maagizo hayo ameyatoa wakati alipokuwa akizungumza na viongozi pamoja na wanachama katika kata ya Mkongotema Halimashauri ya MADABA Mkoani humo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.