Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amezindua mnada wa kwanza wa mfumo katika zao la ufuta uliofanyika katika Wilaya ya Namtumbo.
Katika mnada huo jumla ya kilo za ufuta milioni 1.2 zimeuzwa kwa bei ya kilo moja shilingi 3903 ambapo baada ya tozo mkulima amepata kilo kwa shilingi 3818
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.