MWENYE kofia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikagua mradi wa ujenzi wa daraja la Libango Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo.
Serikali kupitia TARURA imetoa shilingi milioni 900 kutekeleza mradi huu ambao umekuwa ukombozi kwa wananchi wa kijiji cha Libango ambacho kinazalisha kwa wingi mazao mbalimbali.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.